MATAIFA MATANO YAFUZU HATUA YA 16 BORA KWENYE KOMBE LA DUNIA
Mashindano ya kombe la dunia kule Qatar sasa yamefikia katika hatua za mwisho mwisho katika hatua za makundi na kufikia sasa ni mataifa matano yamejihakikishia nafasi yao katika hatua ya 16. Ufaransa ambao ni mabingwa watetezi washafuzu katika 16 sawa na Samba Boys ambao ni timu ya taifa ya Brazil waliojihakikishia nafasi yao baada ya […]
MATAIFA MATANO YAFUZU HATUA YA 16 BORA KWENYE KOMBE LA DUNIA Read More »



