SERIKALI YA MOMBASA KUANZISHA MRADI WA KAZI MTAANI
Serikali ya kaunti ya Mombasa inapanga kuanzisha mradi wa kazi mtaani kwa vijana msimu huu wa likizo ya disemba mradi ambao ulikuwa ukifanywa na serikali kuu. Ni mswada ambao ulipendekezwa na kupitishwa bungeni na wawakilishi wa wadi katika bunge la kaunti ya Mombasa juma lililopita. Akizungumza kwenye kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amepongeza mswada […]
SERIKALI YA MOMBASA KUANZISHA MRADI WA KAZI MTAANI Read More »



