SHULE YA MSINGI YA BANDACHO ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI YAANDIKISHA MATOKEO BORA ZAIDI YA KCPE.
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Bandacho kaunti ndogo ya Magarini kaunti hii ya Kilifi, Constance Kanze ameeleza furaha yake baada ya shule hiyo, kuandikisha matokeo bora katika mtihani wa kitaifa wa KCPE. Katika mazungumzo ya kipekee na meza yetu ya habari, mwalimu huyo amesema kuwa jumla ya wanafunzi 17, walipata alama 400 na […]



