HABARI

ARGENTINA YAPANDA HADI NAFASI YA PILI, BRAZIL IKISALIA KILELENI ‘FIFA RANK’

Timu ya taifa ya Argentina baada ya kushinda kombe la dunia Qatar sasa imekwea hadi nafasi ya pili katika viwango vya fifa maarufu kama ‘fifa rank’ ambapo timu ya taifa ya Brazil iliyotolewa katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya kombe la dunia yaliyotamatika siku ya Jumapili wakishika nafasi ya kwanza. Ufaransa imepanda hadi […]

ARGENTINA YAPANDA HADI NAFASI YA PILI, BRAZIL IKISALIA KILELENI ‘FIFA RANK’ Read More »

WAZIRI WA ELIMU NCHINI EZEKIEL MACHOGU ATANGAZA MATOKEO YA MTIHANI WA KITAIFA KCPE.

Waziri wa elimu humu nchini Ezekiel Machogu amesema kuwa wanafunzi bora katika mtihani wa kitaifa wa KCPE ambao ni Lewis Otieno Omondi na Fwaro Makokha Robinson, wamemudu kupata jumla ya alama 431. Akitoa matokeo hayo katika ukumbi wa mtihani house kule jijini Nairobi, waziri Machogu amesema kuwa wanafunzi zaidi ya milioni 1.2 walifanya mtihani huo

WAZIRI WA ELIMU NCHINI EZEKIEL MACHOGU ATANGAZA MATOKEO YA MTIHANI WA KITAIFA KCPE. Read More »

BUNGE LA SENETI LAENDELEZA HOJA YA KUBANDULIWA KWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA.

Barua za mwaliko zinatarajiwa kutumwa kwa wote watakaowasilisha ushahidi dhidi ya kubanduliwa kwa gavana wa Meru kawira Mwangaza. Hii ni baada ya seneti kuafikiana kubuni kamati maalum ya kutathmini kubanduliwa mamlakani kwa gavana huyo ambapo barua hizo za mwaliko zitaanza kutumwa kwa wote watakaofika mbele ya kamati hiyo kuwasilisha ushahidi. Wahusika wote watakuwa na siku

BUNGE LA SENETI LAENDELEZA HOJA YA KUBANDULIWA KWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA. Read More »