HABARI

MAHAKAMA YA HARAMISHA AGIZO LA SERIKALI KUHUSIANA NA MALIPO YA KARO KUPITIA MTANDAO WA ECITIZEN.

Serikali ya kitaifa imepata pigo baada ya Mahakama Kuu, kuamua kuwa agizo la kuwataka wazazi kulipa karo kupitia mfumo wa eCitizen ni kinyume cha sheria. Mnamo Januari 2024, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Elimu Belio Kipsang, kupitia waraka aliagiza malipo yote ya karo ya shule za umma, yafanywe kwenye mfumo huo. Jaji Chacha Mwita, akitoa uamuzi

MAHAKAMA YA HARAMISHA AGIZO LA SERIKALI KUHUSIANA NA MALIPO YA KARO KUPITIA MTANDAO WA ECITIZEN. Read More »