KILIFI YAPANGWA KUNDI D KYISA
Timu ya Kilifi County Imepangwa tena Kwenye Kundi D Pamoja na Kaunti ya Nyeri na Nakuru, kwenye Makala ya Kumi ya mashindano ya KYISA yatakayoanza hii leo, kaunti hizo zikipangwa tena kwenye Makala yaliyopita yalioandaliwa katika Kaunti Ya Kilifi. Timu hiyo ya soka ya wanaume itaanza harakati zake za kusaka Ubingwa Kwenye Mashindano Hayo, Dhidi […]
KILIFI YAPANGWA KUNDI D KYISA Read More »



