HABARI

KELLO HARSAMA NA GAVANA ISSA ABDALL TIMAMY WAZINDUA MBEGU MPYA ZA KOROSHO

Taasisi ya utafiti wa kilimo na ufugaji KALRO imezindua aina mpya ya mbegu za Korosho ambazo zina uwezo wa kutoa mazao mengi ikilinganishwa na mbegu za kawaida. Aina hizo nne ni pamoja na K-Korosho 75, 81, 82 na K-Korosho 100. Kulingana na KALRO, mbegu hizi mpya zina uwezo wa kustahimili kiangazi na pia mmea wake […]

KELLO HARSAMA NA GAVANA ISSA ABDALL TIMAMY WAZINDUA MBEGU MPYA ZA KOROSHO Read More »

MIZOZO MINGI YA UMILIKI WA ARDHI YA UMMA HUTOKANA NA WALIOKUWA WAMESAJILIWA KUAGA DUNIA AU HATA KUZEEKA

Mwenyekiti wa mashirika ya kijamii kanda ya Pwani Zedekiah Adika amesema mizozo mingi ya umiliki wa ardhi ya umma hutokea kutokana na waliokuwa wamesajiliwa mwanzoni kama wenyeji kufariki au hata kuzeeka. Akizungumza na LULU FM, Adika amesema baadhi ya watu hutaka kumiliki ardhi hizo na hata kuchukua hatua ya kuziuza pasipo kuwahusisha wakazi wengine katika

MIZOZO MINGI YA UMILIKI WA ARDHI YA UMMA HUTOKANA NA WALIOKUWA WAMESAJILIWA KUAGA DUNIA AU HATA KUZEEKA Read More »

TUTACHEZA KADRI YA UWEZO WETU, ASEMA JERGEN KLOPP

Mkufunzi Jergen Klopp anayekiongoza kikosi cha Liverpool amesema kwamba watajaribu uwezo wao kuandikisha historia katika mechi ya usiku wa leo kwenye klabu bingwa ulaya vijana wake watakapokuwa wanachuana na Real Madrid katika dimba la Santiago Bernabou. Mkufunzi huyo anasema kwamba licha ya kuonekana kwamba tayari huenda wakawa wameagana na mashindano hayo baada ya kipigo cha

TUTACHEZA KADRI YA UWEZO WETU, ASEMA JERGEN KLOPP Read More »