GAVANA ANDREW MWADIME AWEKA MIKAKATI KUWAKABILI WAFANYIKAZI HEWA TAITA TAVETA
Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inaendelea kufanya ukaguzi kwa madereva wanaofanya kazi katika kaunti hiyo kwa minajili ya kujua idadi yao kamili jambo litakalowezesha serikali hiyo kuwatambua wafanyikazi hewa. Akizungumza kabla ya kuanzishwa kwa ukaguzi huo ambao haukufanyika tu kwa madereva lakini pia idadi kamili ya magari yanayomilikiwa na kaunti, gavana wa Taita Taveta […]
GAVANA ANDREW MWADIME AWEKA MIKAKATI KUWAKABILI WAFANYIKAZI HEWA TAITA TAVETA Read More »



