HABARI

WENYEJI WA MTAA WA OWINO UHURU KAUNTI YA MOMBASA WAENDELEA KUDAI HAKI YAO

Wenyeji wa mtaa wa Owino Uhuru eneo bunge al Jomvu kaunti ya Mombasa wamesema wataendelea kukita kambi nje ya majengo ya mahakama ya Rufaa mjini humo wakisema hawataondoka hadi kesi yao itakapoamuliwa na waathiriwa kufidiwa. Hii ni licha ya mahakama hiyo ya Rufaa kuhairisha tarehe ya kutoa uamuzi dhidi ya fidia ya shilingi bilioni 1.3 […]

WENYEJI WA MTAA WA OWINO UHURU KAUNTI YA MOMBASA WAENDELEA KUDAI HAKI YAO Read More »

UONGOZI WA KAUNTI YA TAITA TAVETA WALAUMIWA

Makundi ya wachimba madini wadogowadogo eneo la Kishushe kaunti ya Taita Taveta wameushutumu uongozi wa kaunti hiyo kwa kile walichosema kuwa uongozi husika umekataa kuwawakea sahihi katika stakabadhi zao ili waweze kuchimba madini. Wamesema kuwa kwa muda mrefu sasa wamekosa kunufaika kupitia raslimali ya madini katika eneo hilo kutokana na sababu zisizokuwa na msingi. Wachimba

UONGOZI WA KAUNTI YA TAITA TAVETA WALAUMIWA Read More »

HISIA MBALIMBALI ZAENDELEA KUTOLEWA NA VIONGOZI WA KIDINI MJINI MALINDI KUHUSU MAANDAMANO

Baadhi ya viongozi wa kidini mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamepinga maandamano ambayo muungano wa Azimio la Umoja One Kenya unapania kuandaa siku ya Jumatatu wiki ijayo, ili kupinga uongozi wa rais William Samoei Ruto. Wakiongozwa na Askofu wa kanisa la JCC Malindi kaunti ya Kilifi Thomas Tsuma Kakhala, ametoa wito kwa viongozi hao kutafuta

HISIA MBALIMBALI ZAENDELEA KUTOLEWA NA VIONGOZI WA KIDINI MJINI MALINDI KUHUSU MAANDAMANO Read More »