MAAFISA WA SERIKALI WADAIWA KUCHANGIA PAKUBWA KATIKA VISA VYA ULANGUZI WA BINADAMU.
Afisa wa dharura katika shirika la kutetea haki za kibinadam la MUHURI, kaunti ya Mombasa Francis Auma amepinga vikali suala la kubuniwa kwa kitengo maalum cha kukabiliana na ulanguzi wa binadamu nchini. Kulingana na Auma, kubuniwa kwa kitengo hicho ni njia mojawapo ya kuharibu fedha za umma kwani ufisadi ndiyo chanzo cha wakenya kuuzwa kuwa […]
MAAFISA WA SERIKALI WADAIWA KUCHANGIA PAKUBWA KATIKA VISA VYA ULANGUZI WA BINADAMU. Read More »



