HABARI

SERIKALI KUU YATAKIWA KUWAPANDISHA VYEO POLISI KAUNTI YA LAMU.

Gavana wa Kaunti ya Lamu Isaa Abdallah Timammy amewataka maafisa wa polisi waliohudumu kwa muda mrefu Kaunti hiyo kuhamishwa. Timammy akidokeza kuwa maafisa hao, hupitia wakati mgumu, kwani wakati mwingi wamekuwa wakikabiliana na magaidi wa Alshabaab. Gavana huyo ameongeza kuwa maafisa hao wanafaa kupandishwa vyeo ili kunufaika na jitihada zao za kuhakikishia wananchi wa kaunti […]

SERIKALI KUU YATAKIWA KUWAPANDISHA VYEO POLISI KAUNTI YA LAMU. Read More »

KAMPUNI YA MAJI, MAWASCO YATAKIWA KUKABILIANA NA VISA VYA WIZI WA MAJI.

Kamati inayoangazia uwekezaji kwenye serikali za kaunti nchini katika bunge la seneti, imeelezea kuridhishwa na mikakati iliyowekwa na kampuni ya kusambaza maji eneo la Malindi, Mawasco, ili kuongeza mapato yake. Kulingana na mwenyekiti wa kamati hiyo, ambaye pia ni seneta wa kaunti ya Vihigha, Godfrey Osotsi, kampuni ya mawasco imeorodheshwa kuwa kati ya kampuni za

KAMPUNI YA MAJI, MAWASCO YATAKIWA KUKABILIANA NA VISA VYA WIZI WA MAJI. Read More »

WITO WA UMOJA WATOLEWA KWA VIONGOZI NA WANANCHI KAUNTI YA KWALE.

Wanasiasa Kaunti ya Kwale wameomba jamii katika eneo hilo, kuweka Kando tofauti zao na kushirikiana na viongozi walio mamlakani. Wakiongozwa na mwakilikishi wadi wa Kasemeni Victor Safari Nyanja, amesema kwamba maeneo mengi ya Kaunti hiyo yamekosa maendeleo kutoka kwa serikali kuu, kutokana na hatua ya baadhi ya viongozi kupinga uongozi walioko mamlakani kitaifa. Akihutubia jamii

WITO WA UMOJA WATOLEWA KWA VIONGOZI NA WANANCHI KAUNTI YA KWALE. Read More »