LUBUMBASHY FC ITAPANDA DARAJA MSIMU UJAO – JASPER KAZUNGU
Klabu ya Lubumbasy FC inatapanda kutoka ligi ya kaunti hadi ligi ya mkoa msimu ujao baada ya kampeni ya mwaka huu kumalizika. Hiyo ni kulingana na nahodha wa klabu hiyo Jasper Kazungu anasema kwamba baada yakutamatika kwa mzunguko wa kwanza wa msimu huu sasa wanapiga tizi za ziada ili kujiimarisha kipindi hiki cha likizo. Amesema […]
LUBUMBASHY FC ITAPANDA DARAJA MSIMU UJAO – JASPER KAZUNGU Read More »



