HABARI

AFCON | Afrika Kusini Yafuzu Robo Fainali, Yaichapa Morocco 2-0

Timu ya taifa ya Morocco imebanduliwa nje ya michuano ya AFCON kwa kukubali kipigo cha magoli 2-0 walichopokezwa na Afrika kusini katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo inayoendelea Côte d’Ivoire. Goli la fowadi kinda mwenye umri wa miaka 23 Evidence Makgopa ambaye ni sajili wa Orlando Pirates liliwapa Afrika Kusini uongozi wa mechi

AFCON | Afrika Kusini Yafuzu Robo Fainali, Yaichapa Morocco 2-0 Read More »