FEYSWAL DZUYA AIBUKIA SS ASSAD
Klabu ya SS Assad imethibitisha kumsaini Feyswal Dzuya kutoka klabu ya GFC ya Gongoni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Feyswal ambaye ni Mchezaji bora wa pwani katika mashindano ya Soka Super Cup taarifa zasema kuwa alikuwa Kwale hiyo jana kwenye uzinduzi wa jezi na kukubali kusaini na miamba hiyo ya kwale. Sasa Feyswal […]
FEYSWAL DZUYA AIBUKIA SS ASSAD Read More »



