TETESI ZA UHAMISHO MASHINANI (PWANI)
Huku dirisha la uhamisho likiwa bado lipo wazi katika ligi ya mkoa wa pwani hadi mwezi September tarehe 22 vilabu bado viko sokoni kuimarisha vilabu vyao kuelekea msimu ujao. Klabu ya Kisumu Ndogo United inayotokea mji wa Malindi imeonesha nia ya kutaka kumsajili Bajeli Menza kutoka klabu ya Matano Mane youth kutoka eneo bunge la […]
TETESI ZA UHAMISHO MASHINANI (PWANI) Read More »



