KOCHA WA ZAMANI WA MAN CITY AAGA DUNIA
MKUFUNZI wa zamani wa klabu ya Manchester City, Sven-Göran Eriksson, raia wa Sweden, aaga dunia akiwa na umri wa miaka 76. Hadi anaaga dunia, Sven alikuwa amenoa vilabu vya soka 13 na timu 3 za taifa ikiwa ni pamoja na timu ya taifa ya Uingereza, THE THREE LIONS, kati ya mwaka 2001 hadi 2006. Vilabu […]
KOCHA WA ZAMANI WA MAN CITY AAGA DUNIA Read More »



