LOOKMAN AZUNGUMZIA FURAHA YA BALLON DOR 2024
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria Ademola Lookman ameeleza kufurahishwa kwake na kutajwa kwenye orodha ya mwisho ya wanariadha 30 watakaowania tuzo la Ballon Dor mwaka huu Lookman ndiye mwafrika pekee katika orodha hiyo mwaka huu na raia wa Nigeria wa nane kuwahi kuingia katika orodha hiyo. Lookman amekuwa na mafanikio makubwa msimu uliopita […]
LOOKMAN AZUNGUMZIA FURAHA YA BALLON DOR 2024 Read More »



