LIGI ZAENDESHWA NA MOMBASA, INASIKITISHA
Mgombea wa kiti ya uenyekiti cha Fkf kaunti ya Kilifi Tom Lango anadai kuwa ligi za Fkf katika daraja la pili pamoja na ligi ya mkoa zinaendeshwa na ushawishi mwingi kutoka Maafisa wa Fkf kutoka kaunti ya Mombasa Kulingana na Lango ni kuwa uongozi wa sasa wa Fkf katika kaunti ya Kilifi haujakuwa kipaumbele kutetea […]
LIGI ZAENDESHWA NA MOMBASA, INASIKITISHA Read More »



