HABARI

JUNIOR STARLETS YASHINDA 4-1 KWENYE MECHI YA KIRAFIKI

Timu ya taifa ya Junior starlets ambayo iko Uhispania katika kambi ya kujitayarisha kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia ya kinadada jana ilisajili ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya klabu ya kinadada ya Intercity Femenino. Ni mechi ambayo inawafanya Junior starlets wanaoongozwa na kocha Mildred Cheche inazidi kujiandaa kwa World Cup igakayoanza tarehe […]

JUNIOR STARLETS YASHINDA 4-1 KWENYE MECHI YA KIRAFIKI Read More »

JUNIOR STARLETS YASHINDA 4-1 KWENYE MECHI YA KIRAFIKI

Timu ya taifa ya Junior starlets ambayo iko Uhispania kwa matayarisho ya mwisho kuelekea Kombe la Dunia katika taifa ya Dominica Republic usiku wa kuamkia leo imeshiriki mechi ya kirafiki ili kuzidi kujinoa. Imekipiga dhidi ya Valencia Women na kushinda kwa bao 4-1. Mshambuliaji Valerie Nekesa ametia wavuni mabao mawili sawa na lindey Atieno ambaye

JUNIOR STARLETS YASHINDA 4-1 KWENYE MECHI YA KIRAFIKI Read More »

SHABANA YAADHIBIWA

Klabu ya shabana Fc imepewa adhabu ya kucheza mechi tano za ligi bila mashabiki uwanjani baada ya tukio la Vurugu wikendi ilopita. Taarifa ni kuwa shabana walisababisha Vurugu katika uwanja wa Ulinzi Complex na kudburu Maafisa waliokuwa katika mechi hiyo. Kulingana na adhabu shabana watagharamia matibabu ya Maafisa hao pamoja na kukarabati uharibifu wowote katika

SHABANA YAADHIBIWA Read More »