NITAONDOA ADA YA USHIRIKI – TOM LANGO
Mgombea kiti cha uenyekiti wa Fkf kaunti ya Kilifi Tom Lango katika malengo yake iwapo atashinda kura za uchaguzi mkuu mwaka huu analenga kuondoa ada ya ushiriki wa mashindano ya mini ligi ya Fkf ya kaunti. Amesema iwapo Fkf itapata kufadhili kutoka kwa serikali ya kaunti huenda pia ada ya kushiriki ligi na kujiandikisha akaiondoa […]
NITAONDOA ADA YA USHIRIKI – TOM LANGO Read More »



