HABARI

KISUMU NDOGO UNITED YAFANYA MAJARIBIO ALASKAN

Klabu ya mji wa Malindi Kisumu Ndogo United  imefanya zoezi la majaribio ya wachezaji wa lengo la kuwinda talanta ambazo zitaimarisha kikosi hicho zaidi kuelekea msimu mpya wa Ligi ya mkoa. Kulingana na kocha Jackson Kalinga ambaye ni Kati ya makocha waliokuwa wanasimamia zoezi hilo ni kuwa vijana wengi kutoka sehemu mbali wamejitokeza huku akitarajia […]

KISUMU NDOGO UNITED YAFANYA MAJARIBIO ALASKAN Read More »

KAMATI YA UCHAGUZI YATANGAZA SIKU YA MWISHO YA KUWASILISHA LALAMA

Shirikisho la soka Fkf limetangazia vilabu vya mashinani kuwa leo ndio siku ya mwisho kuwasilisha lalama zao kuhusu Orodha ya mwakikishi atakayepiga kura za Fkf. Kulingana na waraka unaosambaa mitandaoni nikuwa Wadau wa vilabu wanaweza kutuma lalama za yupi anafaa kupiga kura, klabu fulani ambayo haikuorodheswa iwekwe pamoja na kuondoa klabu fulani ambayo haikufaa kupiga

KAMATI YA UCHAGUZI YATANGAZA SIKU YA MWISHO YA KUWASILISHA LALAMA Read More »

KOCHA WA BUMBANI STARS AIGURA KLABU HIYO

Kocha Mwaduka Bakari ambaye aliipandisha klabu ya Bumbani Stars kutoka Lungalunga ligi ya daraja la kwanza kitaifa msimu uliopita amethibitisha kuwa amefanya maamuzi na sasa ameachana na klabu hiyo. Kocha huyo ametaja kukosewa heshima na uongozi miongoni mwa masuala mengine yaliyojiri punde tu baada ya msimu jana kutamatika mambo ambayo amekiri yalimfanya kuhisi kujikataa klabuni

KOCHA WA BUMBANI STARS AIGURA KLABU HIYO Read More »