HABARI

WAWANIAJI TISA WA FKF WAKUBALIWA KUWANIA URAIS

Wagombea wote 9 katika uchaguzi mkuu ujao wa Fkf wameidbinishwa na kamati ya uchaguzi kuendeleza kampeni baada ya ukaguzi wa stakabadhi zao. Wawaniaji hao walisalimisha stakabadhi zao kandanda house Jumatatu wiki jana na kamati ya uchaguzi imethibitisha kuwa wamepita vigezo vyote vya kupigania urais wa Fkf. Wagombea hao tisa ambao ni pamoja na Hussein Mohamed

WAWANIAJI TISA WA FKF WAKUBALIWA KUWANIA URAIS Read More »