HABARI

CHECHE BADO ANAIMANI NA JUNIOR STARLETS KWENYE MECHI YA KESHO

Kocha wa timu ya taifa ya Junior starlets Mildred Cheche anasema bado anaimani na kikosi chake na kuwa wataandikisha matokeo mazuri hiyo kesho kwenye mechi ya mwisho dhidi ya Mexico Cheche anasema Jr starlets katika mashindano haya ya Kombe la Dunia kwenye taifa hilo la Dominican Republic wamekutana na timu zenye Upinzani mkubwa jambo ambalo […]

CHECHE BADO ANAIMANI NA JUNIOR STARLETS KWENYE MECHI YA KESHO Read More »

ANTHONY TAILOR NDIO REFA WA MECHI YA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL JUMAPILI

Ligi kuu nchini Uingereza imetoa taarifa kuwa Anthony Tailor ndiye atakaye kuwa refa wa mechi ya mechi itakayokutanisha Liverpool dhidi ya Arsenal wikendi ijayo. Arsenal ambayo ilipigwa bao 2-0 na Bournemouth katika Dimba la ugenini. Hata hivyo kiungo wa Kati raia wa Uingereza Declan Rice anatarajiwa kukosa mechi hiyo Rice ataikosa mechi hiyo kutokana na

ANTHONY TAILOR NDIO REFA WA MECHI YA ARSENAL DHIDI YA LIVERPOOL JUMAPILI Read More »