BARRY OTIENO AJIUZULU
Katibu wa soka la Kenya Barry Otieno amejiuzulu kutoka wadhifa huo hii leo baada ya kuhudumu kwa miaka mitano katika ofisi ya afisa mkuu mtendaji Kufuatia tukio hilo Fkf imetangaza Patrick Korir kama mtendaji mkuu wa muda kuchukua nafasi ya Barry Otieno. Kabla ya kuteuliwa katika FKF, Korir alihudumu katika wadhifa sawa na Klabu ya […]
BARRY OTIENO AJIUZULU Read More »



