Kitaifa

KAMATI YA UCHAGUZI YATANGAZA SIKU YA MWISHO YA KUWASILISHA LALAMA

Shirikisho la soka Fkf limetangazia vilabu vya mashinani kuwa leo ndio siku ya mwisho kuwasilisha lalama zao kuhusu Orodha ya mwakikishi atakayepiga kura za Fkf. Kulingana na waraka unaosambaa mitandaoni nikuwa Wadau wa vilabu wanaweza kutuma lalama za yupi anafaa kupiga kura, klabu fulani ambayo haikuorodheswa iwekwe pamoja na kuondoa klabu fulani ambayo haikufaa kupiga […]

KAMATI YA UCHAGUZI YATANGAZA SIKU YA MWISHO YA KUWASILISHA LALAMA Read More »

KOCHA WA BUMBANI STARS AIGURA KLABU HIYO

Kocha Mwaduka Bakari ambaye aliipandisha klabu ya Bumbani Stars kutoka Lungalunga ligi ya daraja la kwanza kitaifa msimu uliopita amethibitisha kuwa amefanya maamuzi na sasa ameachana na klabu hiyo. Kocha huyo ametaja kukosewa heshima na uongozi miongoni mwa masuala mengine yaliyojiri punde tu baada ya msimu jana kutamatika mambo ambayo amekiri yalimfanya kuhisi kujikataa klabuni

KOCHA WA BUMBANI STARS AIGURA KLABU HIYO Read More »