MAREFA WATATU WAKENYA WAMETEULIWA KUSIMAMIA AFCON
Marefa watatu kutoka taifa la Kenya wameteuliwa kusimamia mechi za kombe la AFCON 2023 nchini Morocco ambayo yameairishwa hadi januari mwaka ujao 2024 Peter Kamau Waweru, Gilbert Cheruiyot na mwanadada Mary Njoroge ndio wameteuliwa na shirikisho la kandanda barani Afrika CAF kuwa miongopni mwa marefa ambao watasimamia mechi kadhaa za kombe hilo Waweru ameteukiwa kutokana […]
MAREFA WATATU WAKENYA WAMETEULIWA KUSIMAMIA AFCON Read More »



