Kaunti

IDADI KUBWA YA WANAUME KAUNTI YA KILIFI HAWAJAKUWA WAKIJUKUMIKA KUZINGATIA AFYA YA UZAZI KWA WAKE ZAO

Wanaume wengi kaunti ya KIlifi hawajakuwa wakijukumika katika kuzingatia afya ya uzazi kwa wake zao wakati wanapokuwa na ujauzito. Haya ni kwa mujibu wa afisa wa afya ya jamii katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, Edwin Ogoma ambaye ametaja suala hilo kuwa changamoto kuu kwani wengi wa wanaume hao hukosa kufahamu umuhimu wa

IDADI KUBWA YA WANAUME KAUNTI YA KILIFI HAWAJAKUWA WAKIJUKUMIKA KUZINGATIA AFYA YA UZAZI KWA WAKE ZAO Read More »

PETER SHAKE ASEMA HAUNGI MKONO MAANDAMANO YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA

Mbunge wa Mwatate kaunti ya Taita Taveta Peter Shake amesema hatua ya baadhi ya wanasiasa wa Azimio La Umoja One Kenya kujiunga na ule wa Kenya Kwanza inatokana na msukumo wa maendeleo katika maeneo ambayo wanawakilisha. Akizungumza katika eneo bunge lake La Mwatate Shake ambaye ni mwanachama wa chama cha Jubilee amesema haungi mkono harakati

PETER SHAKE ASEMA HAUNGI MKONO MAANDAMANO YA MUUNGANO WA AZIMIO LA UMOJA ONE KENYA Read More »