Kaunti

BAADHI YA VIONGOZI WA KAUNTI YA TANA RIVER WAITAKA SERIKALI KUU KUKATAA MISAADA KUTOKA MATAIFA YA NJE

Naibu kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Tana River Hamid Babusa na mwakilishi wa wadi mteule Lucy Diramo wameitaka serikali kuu kukataa misaada kutoka kwa mataifa ya nje au mashirika ambazo zinakuja na masharti ya kukubali mapenzi ya Jinsia moja. Kauli zao zinajiri baada ya bunge la kaunti ya Tana River kupitisha hoja […]

BAADHI YA VIONGOZI WA KAUNTI YA TANA RIVER WAITAKA SERIKALI KUU KUKATAA MISAADA KUTOKA MATAIFA YA NJE Read More »

GAVANA ANDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AMEAHIDI KUWATETEA WENYEJI WALIOFURUSHWA KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA ENEO LA BUXTON

Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir ameahidi kuwatetea wakaazi waliofurushwa katika nyumba za kupanga eneo la Buxton kaunti ya Mombasa. Katika kikao na waandishi wa habari afisini mwake Nassir amesema amewaandikia barua washikadau wote Pamoja na afisa katika idara husika kuhakikisha wanatoa maelezo kamili kuhusiana na ombi lililotolewa na wakaazi wa nyumba hizo.

GAVANA ANDULSWAMAD SHARIFF NASSIR AMEAHIDI KUWATETEA WENYEJI WALIOFURUSHWA KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA ENEO LA BUXTON Read More »

FIKIRINI JACOBS AMKOSOA WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA MOSES KURIA

Kiongozi wa vijana katika kaunti ya Kilifi Fikirini Jacobs amemtaka waziri wa biasahara na viwanda nchini Moses Kuria kujitenga na masuala yanayohusiana na wizara ya elimu. Fikirini anadai Kuria amechochea kubinafsishwa kwa vyuo vikuu nchini hali ambayo anasema itaathiri vyuo vya umma katika taifa hili la Kenya. Amesema iwapo wizara ya elimu itaanza kuingiliwa huenda

FIKIRINI JACOBS AMKOSOA WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA MOSES KURIA Read More »