ONYO LATOLEWA KWA WAZAZI WA ENEO BUNGE LA MALINDI
Msaidizi wa naibu wa kamishna wa eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, Angela Wanyama amewaonya wazazi wa Malindi dhidi ya kuwaruhusu watoto wao kuhudhuria hafla za Disco matanga nyakati za usiku. Kulingana na Wanyama kuwepo kwa Disco matanga katika jamii kumeathiri zaidi matokeo ya wanafunzi, wanaosoma katika taasisi mbalimbali za elimu mjini Malindi na kaunti […]
ONYO LATOLEWA KWA WAZAZI WA ENEO BUNGE LA MALINDI Read More »


