Kaunti

SHEIKH TWAHA OMAR AMKOSOA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO

Mwenyekiti wa chama cha Wiper kaunti ya Mombasa Sheikh Twaha Omar amemkosoa Rais William Samoei Ruto akidai teuzi zake katika nafasi mbalimbali serikalini ni za kibaguzi. Twaha amepinga uteuzi wa nahodha William Kipkemboi Ruto kama mkurugenzi wa bandari ya Mombasa. Ameutaja uteuzi huo kama wa kikabila na ubaguzi na kusema kulipaswa kuteuliwa mtu ambaye anatoka […]

SHEIKH TWAHA OMAR AMKOSOA RAIS WILLIAM SAMOEI RUTO Read More »

RAILA ODINGA ADAI KULIKUWA NA MITAMBO MINNE YA IEBC KUPEPERUSHA MATOKEO YA UCHAGUZI

Kinara wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga anadai kulikuwa na mitambo minne ya tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kupeperusha matokeo ya kura za uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka jana wa 2022 ambazo zilitumika kufanikisha wizi wa Kura za urais katika kipute hicho. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa Raila amesema

RAILA ODINGA ADAI KULIKUWA NA MITAMBO MINNE YA IEBC KUPEPERUSHA MATOKEO YA UCHAGUZI Read More »

MCHUNGAJI MATIKO AWAONYA VIJANA DHIDI YA KUTAZAMA FILAMU ZILIZO NA VIDEO ZA NGONO

Mchungaji wa kanisa la Ocean Assemblies Of God mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Samuel Matiko amewaonya vijana dhidi ya kutizama filamu zilizo na video za ngono. Kulingana na mchungaji huyo hatua ya vijana kutizama filamu hizo kumechangia pakubwa kwa ao, kuwa na hamu ya kushiriki ngono kabla ya ndoa. Akizungumza na mwanahabari wetu katika afisini

MCHUNGAJI MATIKO AWAONYA VIJANA DHIDI YA KUTAZAMA FILAMU ZILIZO NA VIDEO ZA NGONO Read More »