Kaunti

SAMUEL GONZI RAI AWATAKA VIONGOZI WA KWALE KUSHIRIKIANA

Mbunge wa Kinango kaunti ya Kwale Samuel Gonzi Rai amewataka viongozi wa kaunti hiyo kuweka kando tofauti zao za kisiasa na kushirikiana ili kuiboresha kaunti hiyo. Rai akizungumza wakati wa ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika shule ya msingi ya Kinango amesema ni kupitia ushirikiano ndipo miradi itatekelezwa kwenye kaunti ya Kwale. Aidha, amesema atahakikisha […]

SAMUEL GONZI RAI AWATAKA VIONGOZI WA KWALE KUSHIRIKIANA Read More »

GAVANA ABDULSWAMAD ASEMA HAWATARUHUSU KUBINAFSISHWA KWA BANDARI YA MOMBASA

Mikakati inapoendelezwa na serikali kuu kuboresha bandari zilizoko nchini Kenya, Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amepinga hatua ya kutaka kubinafsishwa kwa bandari ya Mombasa. Kauli ya gavana Nassir inajiri baada ya kuibuka tetesi kuna baadhi ya watu wanaopanga kuibinafsishwa kwa bandari hiyo ya Mombasa ambayo ni tegemeo kuu kwa wenyeji wa pwani.

GAVANA ABDULSWAMAD ASEMA HAWATARUHUSU KUBINAFSISHWA KWA BANDARI YA MOMBASA Read More »