Kaunti

WANAWAKE WENYE TABIA YA KUOMBA PESA KWA WANAUME MWISHOWE HUNYANYASWA KINGONO MAKUBALIANO YAKIKIUKWA

Baadhi ya visa vya wanawake kudhulumiwa kingono na wanaume vinadaiwa kuchangiwa na makubaliano baina ya wawili hao kukosa kuafikiwa. Haya ni kulingana na Mwenyekiti wa shirika la kutetea haki za wanawake na watoto la KILIFI MUMS kaunti ya Kilifi Kibibi Ali ambaye amesema baadhi ya wanawake wamekuwa na tabia za kuomba pesa za mahitaji kutoka […]

WANAWAKE WENYE TABIA YA KUOMBA PESA KWA WANAUME MWISHOWE HUNYANYASWA KINGONO MAKUBALIANO YAKIKIUKWA Read More »

WANAFUNZI 600 WADI YA GONGONI WANUFAIKA NA FEDHA ZA UFADHILI WA MASOMO

Jumla ya wanafunzi 600 katika wadi ya Gongoni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wamenufaika na kima cha shilingi milioni 4.8, fedha za ufadhili wa masomo kutoka kwa hazina ya ufadhili wa masomo ya wanafunzi wa kaunti ya Kilifi. Kulingana na mwenyekiti wa kamati ya ugavi wa basari katika wadi hiyo David Mwanyule, idadi

WANAFUNZI 600 WADI YA GONGONI WANUFAIKA NA FEDHA ZA UFADHILI WA MASOMO Read More »

GAVANA WA LAMU ASEMA NI KUPITIA SERIKALI YA KAUNTI HIYO NDIPO MIZOZO YA ARDHI ITATATULIWA

Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Abdalla Timamy amesema ni kupitia serikali ya kaunti hiyo pamoja na bunge la kaunti ya Lamu ndipo suala la mizozo ya ardhi kwenye kaunti hiyo itaweza kupata mwafaka. Kulingana naTimamy katiba ya nchi, ardhi imegatuliwa na ni vyongozi wa kaunti hiyo ambao wanaweza kushughulikia mizozo hiyo ili wenyeji wapate

GAVANA WA LAMU ASEMA NI KUPITIA SERIKALI YA KAUNTI HIYO NDIPO MIZOZO YA ARDHI ITATATULIWA Read More »