KAMATI YA MISWADA KATIKA BUNGE LA SENETI YAFANYA KIKAO NA WAWAKILISHI WADI KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI.
Kamati ya sheria andalizi ikiongonzwa na mwenyekiti wake ambaye ni seneta wa Tharaka Nithi Sen. Mwenda Gataya, imepongeza bunge la kaunti ya Kilifi kwa kufuata sheriza muhumu za utoazaji kodi wananchi wa kaunti ya kilifi. Akizungumza baada ya kufanya kikao na wawakilishi wadi kwenye bunge hilo, mwenyekiti huyo amesisitiza haja ya hamasa zaidi kwa viongozi […]



