Kaunti

WANAWAKE KAUNTI YA MOMBASA WASISITIZWA KURIPOTI VISA VYA DHULMA DHIDI YAO.

Wanawake kaunti ya Mombasa wamewaonya dhidi ya kuvumilia dhulma wanazofanyiwa na waume zao kwenye ndoa. Kulingana na mwakilishi wa kike kaunti ya Mombasa Zamzam Mohamed, akina mama wanapaswa kujitokeza na kuripoti visa vya dhulma za kijinsia, vinavyo tekelezwa dhidi yao, ili hatua za kisheria zichukuliwe na wanahusika waadhibiwe. Akizungumza katika kaunti hiyo, mwakilishi huyo wa […]

WANAWAKE KAUNTI YA MOMBASA WASISITIZWA KURIPOTI VISA VYA DHULMA DHIDI YAO. Read More »

UKOSEFU WA FEDHA ZA KAUNTI WACHELEWESHA UJENZI WA HIFADHI YA WAATHIRI WA DHULMA ZA KIJINSIA KAUNTI YA KWALE.

Ukosefu wa fedha za kutosha kwenye bajeti ya kila mwaka ya serikali ya kaunti ya Kwale, ndiyo chanzo cha serikali hiyo kushindwa kufanikisha ujenzi wa maeneo ya kuhifadhi waathiriwa wa dhulma za kijinsia. Haya ni kulingana na waziri wa masuala ya jamii na talanta kaunti hiyo Francisca Kilonzo, hifadhi hizo ni paswa kujengwa katika eneo

UKOSEFU WA FEDHA ZA KAUNTI WACHELEWESHA UJENZI WA HIFADHI YA WAATHIRI WA DHULMA ZA KIJINSIA KAUNTI YA KWALE. Read More »

MAAAFISA ZAIDI WA NPR WATARAJIA KUTUMWA KAUNTI YA TANA RIVER.

Idara ya polisi nchini imeahidi kuwekaza jitihada zaidi katika suala la kuwahakikishia wananchi wa kaunti ya Tana River usalama wao. Kulingana na inspekta wa polisi nchini Douglas Kanja, idara hiyo itatoa fedha za kuwapa mafunzo maafisa wapolisi katika kitengo cha NPR, ambao watashika doria katika eneo hilo. Akizungumza katika ziara yake kule kaunti ya Tana

MAAAFISA ZAIDI WA NPR WATARAJIA KUTUMWA KAUNTI YA TANA RIVER. Read More »