SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA YAKOSOLEWA KWA KUKATA MITI ILIYOKO KWENYE BUSTANI YA UHURU.
Maseneta wa kaunti ya Mombasa wamemsuta vikali gavana wa kaunti hiyo Abdulswamad Shariff Nassir, kwa kukata miti iliyodumu kwa miaka mingi katika bustani ya Uhuru kwenye jiji kuu ya Mombasa. Wakiongozwa na seneta mteule Mirajj Abdulahi, wamesema kuwa zoezi hilo halikufuata sheria hitajika kwa mujibu wa katiba, hasa kipengele kinacho sisitiza haja ya wananchi kuhusishwa […]



