Kaunti

SUKARI GHUSHI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MOJA YA NASWA KAUNTI YA KWALE.

Maafisa wa Ukusanyaji ushuru Nchini  (KRA) wamenasa lori, lililokuwa likisafirisha magunia 144 ya  sukari, kwa njia haramu, katika mpaka wa Lunga Lunga kaunti ya Kwale. Baada ya kupokea habari za kijasusi, maafisa wa forodha walisimamisha lori hilo lenye nambari za usajili za kigeni na kupata sukari ambayo haikuwa imekaguliwa. Lori hilo Lilipopekuliwa kwa kina, magunia […]

SUKARI GHUSHI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MOJA YA NASWA KAUNTI YA KWALE. Read More »

WAZAZI WAONYWA DHIDI YA KUTOFUATILIA MIENENDO YA WANAO MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI.

Idara ya usalama hapa mjini Malindi kaunti ya Kilifi imetishia kuwakamata wazazi wa watoto, waliojiunga na makundi ya kiuhalifu katika eneo bunge hili. Kamishna wa eneo hili David Lusava, amesema kuwa hatua ya watoto kujiunga na magenge hayo, huchangiwa na utepetevu wa mzazi katika malezi ya mwanawe. Lusava amesema kuwa idadi kubwa ya watoto walio

WAZAZI WAONYWA DHIDI YA KUTOFUATILIA MIENENDO YA WANAO MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI. Read More »

KAUNTI YA KILIFI YAPIGA HATUA KATIKA VITA DHIDI YA DHULMA ZA KIJINSIA.

Wizira ya jinsia, vijana na michezo kaunti ya Kilifi, imeweka wazi kuwa idadi ya visa vya dhulma za kijinsia na mauaji ya wanawake vimeendelea kupungua, kutokana na mikakati ambayo imeendekezwa na wadau mbali mbali kaunti hii. Kulingana na waziri husika Daktari Ruth Masha, mojawapo ya mikakati ambayo serikali ya kaunti imetumia, kwa ushirikiano na mashirika

KAUNTI YA KILIFI YAPIGA HATUA KATIKA VITA DHIDI YA DHULMA ZA KIJINSIA. Read More »