WIZARA YA UCHUKUZI YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA VISA VYA AJALI ZA NDEGE ZA MALINDI KAUNTI YA KILIFI.
Mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi, Amina Mnyazi ameitaka wizara ya uchukuzi, kupitia kamati yake kwenye bunge la kitaifa, kuweka wazi mikakati iliyoko, katika kupunguza visa vya ajali za ndege kwa wanafunzi wanao somea urubani. Kulingana na Mnyazi, licha ya kuwepo kwa uchunguzi kuhusiana na chanzo cha ajili ya ndege, iliyosababisha vifo vya watu wawili […]



