Kaunti

KIKOSI CHA KILIFI CHAWASILI MLIMA KENYA

Kikosi cha kaunti ya kilifi kitakachowakilisha kaunti hii katika michezo ya Kenya Youth Inter County Sports Association mashindano yatakayofanyika kaunti ya Tharaka Nithi kiliwasili rasmi katika kaunti hiyo. Kikosi hicho kimeundwa na wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23 na wanajenga vikosi viwilivya soka ya wanaume na kinadada lakini pia kikosi cha akina dada katika mchezo

KIKOSI CHA KILIFI CHAWASILI MLIMA KENYA Read More »

KAUNTI YA KILIFI YAZIDI KUJIANDAA KWA MASHINDANO YA KYISA THARAKA NITHI

Timu ya soka itakayowakilisha kaunti ya Kilifi katika mashindano ya kitaifa ya Kenya Youth Inter County sports yatakayofanyika katika kaunti ya tharaka Nithi yatakayoanza rasmi wikendi hii tarehe 23 hadi 30 mwezi huu wa Aprili inaendelea na maandalizi ya lala salama kujitayarisha kwa michuano hiyo. Jana katika uwanja wa mpira wa MTG ulioko eneo la

KAUNTI YA KILIFI YAZIDI KUJIANDAA KWA MASHINDANO YA KYISA THARAKA NITHI Read More »