WENYEJI WENGI WA KAUNTI YA KILIFI WANADAIWA KUWA NA MATATIZO YA MACHO
Idadi kubwa ya wenyeji wa kaunti ya Kilifi wanadaiwa kuwa na matatizo ya macho, hali ambayo inadaiwa kuchangiwa na maradhi ya kisukari mwilini mwao. Haya ni kwa mujibu wa msimamizi wa hospitali ya Kibinafsi ya Mephi mjini Kilifi kaunti ya Kilifi Rita Mukhongo, ambaye amesema wengi wa wakaazi hawana ufahamu wa kuwa wanaugua maradhi ya […]
WENYEJI WENGI WA KAUNTI YA KILIFI WANADAIWA KUWA NA MATATIZO YA MACHO Read More »



