Kaunti

UTEUZI WA WAWAKILISHI WA WADI WATEULE WA ODM KAUNTI YA MOMBASA WAZIDI KUIBUA HISIA MSETO

Uteuzi wa wawakilishi wa wadi wateule wa chama cha ODM kwenye bunge la kaunti ya Mombasa unaendelea kuibia hisia mseto kwa baadhi ya wale ambao majina yao yalikosekana kwenye orodha ya waliopaswa kuteuliwa. Kulinagana na Victor Wesonga anasema ametamaushwa na hatua ya baadhi ya majina kukosekana na kisha nafasi hizo kupewa watu wengine kutoka kaunti […]

UTEUZI WA WAWAKILISHI WA WADI WATEULE WA ODM KAUNTI YA MOMBASA WAZIDI KUIBUA HISIA MSETO Read More »