Kaunti

WAKENYA WAPONGEZWA KWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI

Shirika la STRICHERS eneo la  Changamwe kaunti ya Mombasa limewapongeza wakenya kwa kudumisha amani kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu nchini. Akiongea katia hafla ya kuadhimisha siku ya amani ulimwenguni iliyofanyika kwenye kaunti ndogo ya Changamwe afisa mkuu katika shirika hilo Evans Ouma amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu unapaswa kuigwa kutokana na jinsi […]

WAKENYA WAPONGEZWA KWA KUDUMISHA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI Read More »

SPIKA MPYA WA BUNGE LA TANA RIVER AMEAHIDI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZINGINE ZA SERIKALI

Spika mpya wa bunge la kaunti ya Tana River, Ousman Nur Galole ameahidi kuboresha uhusiano wa bunge sawia na taasisi zingine za serikali. muda mchache baada ya kuchaguliwa kwake. Akizungumza baada ya kuchaguliwa kuwa spika wa bunge hilo, Galole pia amewataka wakaazi wa kaunti hiyo, kuchukulia kwa umuhimu mkubwa vikao vya umma vya maoni vinavyoitishwa

SPIKA MPYA WA BUNGE LA TANA RIVER AMEAHIDI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZINGINE ZA SERIKALI Read More »

MAAFISA WALIOKUWA WAKIFANYA KWA SERIKALI YA TANA RIVER WAKANUSHA MASHTAKA DHIDI YAO

Maafisa watatu waliokuwa wakifanya kazi katika serikali ya kaunti ya Tana River, wamekanusha mashtaka dhidi yao kuhusiana na utumizi mbaya wa afisi za umma katika kaunti hiyo, kwenye mahakama ya Malindi kaunti ya  Kilifi. Watatu hao ambao ni Mohamed Muhammad Guracho, afisa mkuu wa idara ya maji kaunti ya Tana River, Salim Juma Makorani ambaye ni meneja wa idara ya

MAAFISA WALIOKUWA WAKIFANYA KWA SERIKALI YA TANA RIVER WAKANUSHA MASHTAKA DHIDI YAO Read More »