Kaunti

VIJANA WALIOSIMAMISHWA KAZI KATIKA BANDARI YA MOMBASA WATAKA KUPEWA KIPAUMBELE

Vijana ambao walisimamishwa kazi katika bandari ya Mombasa wametoa wito kwa rais William Kipchirchir Arap Ruto pamoja na washikadau katika mamlaka ya usimamizi wa bandari nchini KPA kuwaregesha kazini. Wakiongozwa na Hussein Khalid Hussein wamesema kuregeshwa kwa huduma za bandari kaunti ya Mombasa kutawawezesha vijana kupata nafasi za kazi na pia kuboresha uchumi wa kaunti […]

VIJANA WALIOSIMAMISHWA KAZI KATIKA BANDARI YA MOMBASA WATAKA KUPEWA KIPAUMBELE Read More »

VISA VITATU VYA MAUJI KWA TUHUMA ZA UCHAWI HURIPOTIWA KILA SIKU KATIKA ENEO LA MALINDI

Wanaharakati mbalimbali wa kutetea haki za kibinadam eneo la Malindi kaunti ya Kilifi jana walishirikiana na Lulu fm, kwenye hafla ya maadhimisho ya siku ya amani ulimwenginu kauli mbiu ikiwa “Uzee si Uchawi”. Wakizungumza na wanahabari katika shughuli hiyo, mwenyekiti wa masuala ya amani katika shirika la County Women Peace and Security, Merab Shibuyanga, Warda

VISA VITATU VYA MAUJI KWA TUHUMA ZA UCHAWI HURIPOTIWA KILA SIKU KATIKA ENEO LA MALINDI Read More »