MAFUNZO YA MAREFA YAPIGIWA DEBE ,ASHINANI KUIMARISHA SOKA
Mafunzo ya marefa ambayo yamekuwa yakiendelea mashinani ni jamboa ambalo linahimizwa sana na washikadau wa michezo mashinani katika mkoa wote wa pwani nah ii inatajwa kama njia moja ya kuimarisha mchezo huo miongoni mwa vijana. Akizungumza na Tama la spoti kwa njia ya simu, mwenyekiti wa fkf tawi la kaunti ya Kwale bwana Hamisi Mwakoja […]
MAFUNZO YA MAREFA YAPIGIWA DEBE ,ASHINANI KUIMARISHA SOKA Read More »



