WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI
Wakuu wa vilabu vya mashinani wanasema wanafurahishwa sana na makuzi ya talanta za soka za vijanza wao katika eneo bunge la magharini kaunti ya kilifi. Akizungumza na Tama la Spoti alasiri ya leo Kennedy Rimba ambaye ni mkufunzi mkuu wa kikosi cha bosuster kilichojisajili kwa ligi ya fkf ya tawi la eneo bunge hilo amasema […]
WACHEZAJI WA MAGHARINI WAJARIBISHWA NA KIKOSI CHA KDF KABLA YA USAJILI Read More »



