Kaunti

KAUNTI YA KILIFI YAANZA KUSHUHUDIA ONGEZEKO LA MIMBA ZA UTOTONI

Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Margaret Chibule amesema kaunti ya Kilifi sasa imeanza kushuhudia ongezeko la idadi ya watoto, wanaopachikwa ujauzito wakiwa chini ya umri wa miaka 13. Naibu gavana huyo amethibitisha kupokea taarifa za watoto watano waliochini ya umri huo, ambao wamepata ujauzito katika sehemu mbalimbli za kaunti ya Kilifi. Akizungumza katika eneo […]

KAUNTI YA KILIFI YAANZA KUSHUHUDIA ONGEZEKO LA MIMBA ZA UTOTONI Read More »

SHAKILLA ABDALLA AMTAKA RAIS RUTO KUWAPA WATU WA LAMU NAFASI ZA UONGOZI

Seneta mteule katika kaunti ya Lamu Shakilla Abdalla amesema kuna haja ya rais William Samoei Ruto kuwapa nafasi za uongozi wenyeji wa kaunti hiyo kwenye ngazi za kitaifa ili kaunti hiyo iweze kuwakilishwa kiukamilifu. Amesema katika serikali kuu bado kuna nafasi za makatibu wakuu na mabalozi ambazo zimesalia hivyo basi wenyeji wa kaunti hiyo wanapaswa

SHAKILLA ABDALLA AMTAKA RAIS RUTO KUWAPA WATU WA LAMU NAFASI ZA UONGOZI Read More »