Kaunti

WAZIRI MACHOGU ABADILI MSIMAMO

Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amebadili msimamo wake kuhusu mpango wa serikali katika kufadhili vyuo vikuu. Machogu amesema serikali itaendelea kuvifadhili vyuo kwani tayari serikali imetenga shilingi bilioni 50 kwa ajili ya kazi hiyo. Awali,waziri Machogu alijipata matatani baada ya kutangaza kuwa vyuo vitalazimika kutafuta njia mbadala za kuendeleza shughuli zake kwani ufadhili uliokuwepo utaondolewa. […]

WAZIRI MACHOGU ABADILI MSIMAMO Read More »

ZAIDI YA FAMILIA 4,000 TAITA TAVETA KUNUFAIKA NA CHAKULA CHA MSAADA

Mshirikishi wa shirika la msalaba mwekundu kanda ya pwani Hassan Musa amesema zaidi ya familia elu 4 kaunti ya Taita Taveta zinatarajiwa kunufaika na chakula cha msaada kutoka kwa wafadhili mbalimbali kupitia shirika hilo. Akizungumza mjini Voi, Hassan amesema shirika la msalaba mwekundu linashirikiana na serikali ya kaunti ya Taita Taveta na ya kitaifa ili

ZAIDI YA FAMILIA 4,000 TAITA TAVETA KUNUFAIKA NA CHAKULA CHA MSAADA Read More »

VISA VYA UHALIFU VINAENDELEA KUSHUHUDIWA KISAUNI

Ongezeko la uhalifu unaotekelezwa na vijana kaunti ya mombasa umechochea mkutano kati ya maafisa wa usalama, viongozi na wahudumu wa bodaboda kutoka mitaa ya kisauni na mtopanga. Mkutano huo umeafikia kuwa wahalifu na wazazi wao wakamatwe ili kuleta uwajibikaji na kukomesha uhalifu. Mbunge wa Kisauni Rashid Bedzimba amesisitiza haja ya wazazi hao kuchukuliwa hatua kwani

VISA VYA UHALIFU VINAENDELEA KUSHUHUDIWA KISAUNI Read More »