Kaunti

KESI ZA KUNAJISIWA WA WATOTO KATI YA UMRI WA MIAKA 16 HADI 18 ZIMERIPOTIWA KWENYE MAHAKAMA YA KILIFI

Hakimu mkaazi mwandamizi katika mahakama ya Kilifi kaunti ya Kilifi Daniel Sitati Sifuma, amesema kesi za kunajisiwa kwa watoto kati ya umri wa miaka 16 hadi 18 zimeripotiwa katika mahakama hiyo kinyume na hapo awali ambapo kesi nyingi zilihusisha watoto wenye umri wa chini ya miaka 10. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa siku ya kuanza […]

KESI ZA KUNAJISIWA WA WATOTO KATI YA UMRI WA MIAKA 16 HADI 18 ZIMERIPOTIWA KWENYE MAHAKAMA YA KILIFI Read More »

ZIWA KENYATTA KAUNTI YA LAMU YAENDELEA KUKAUKA

Baadhi ya wenyeji wa Mpeketoni kaunti ya Lamu wameitaka serikali ya kaunti hiyo kuweka mikakati ya kudhibiti ziwa Kenyatta dhidi ya kukauka kwani hali hiyo inachangia kwa samaki mbalimbali kupungua. Wanasema ziwa hilo limekauka kutokana na kiangazi kinachoendelea kushuhudiwa kutokana na ukosefu wa mvua na pia watu kupora ardhi kandokando mwa ziwa hilo na kufanywa

ZIWA KENYATTA KAUNTI YA LAMU YAENDELEA KUKAUKA Read More »

BAADHI YA WABUNGE WA MRENGO WA UPINZANI WAIKSHIFU SERIKALI KUU

Wabunge wa upinzani wameikashifu serikali ya Kenya kwanza pamoja na baraza lake la mawaziri wakisema kuwa bado wako katika kampeni za kisiasa badala ya kuwatekelezea wakenya miradi ya maendeleo. Wakiongozwa na Opiyo Wandayi ambaye ni mbunge wa Ugunja, wabunge hao wamesema kuwa mawaziri hao wanaropokwa kiholela bila ya kuzingatia misingi ya sera na taratibu zilizowekwa

BAADHI YA WABUNGE WA MRENGO WA UPINZANI WAIKSHIFU SERIKALI KUU Read More »