Kaunti

MADALALI WA BIMA YA AIBK WATAKA MTAALA WA CBC KUIDHINISHA SOMO LA BIMA

Mwenyekiti wa muungano wa madalali wa bima AIBK, Antony Mwangi amesisitiza haja ya mtaala wa elimu wa umilisi CBC nchini kuidhinisha somo la bima kwenye shule za msingi hadi vyuo vikuu. Mwangi amesema kuwa hatua hiyo itawezesha wanafunzi kujua na kuelewa umuhimu wa bima maishani. Mwangi ameyasema haya katika kongamano la 16 eneo la diani […]

MADALALI WA BIMA YA AIBK WATAKA MTAALA WA CBC KUIDHINISHA SOMO LA BIMA Read More »

HUDUMA ZA MATIBABU ZATARAJIWA KUIMARIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA

Mikakati mbalimbali inapoendelea kuwekwa na serikali ya kaunti ya Taita Taveta ili kuimarisha maisha ya wenyeji hasa kwenye idara ya afya, tayari mawaziri 6 wa kaunti hiyo wamekabidhiwa ofisi rasmi. Miongoni mwao ni waziri wa afya Gifton Mkaya ambaye amekabidhiwa ofisi hiyo na aliyekuwa waziri wa afya John Mwakima, wakazi wakiwa na matarajio mengi kwa

HUDUMA ZA MATIBABU ZATARAJIWA KUIMARIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA Read More »

MOHAMED FAKI ATOA WITO KWA SERIKALI KUUNDA JOPO LA KUCHUNGUZA VISA VYA WATU KUULIWA KIHOLELA

Seneta wa kaunti ya Mombasa Mohamed Faki ametoa wito kwa serikali kuu kuunda jopo ambalo litachunguza visa vya watu kuuliwa kiholela na wengine kupotea katika hali tatanishi ili hatua za kisheri dhidi ya wahusika. Amependekeza uongozi wa jopo hilo liwe mikononi mwa maafisa ambao hawako kwenye idara ya usalama ili waathiriwa wa mauaji hayo wapate

MOHAMED FAKI ATOA WITO KWA SERIKALI KUUNDA JOPO LA KUCHUNGUZA VISA VYA WATU KUULIWA KIHOLELA Read More »