WAHADHIRI WA VYUO VIKUU NCHINI WAMKOSOA WAZIRI WA ELIMU EZEKIEL MACHOGU
Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini wamemkosoa waziri wa elimu Ezekiel Machogu kufuatia tangazo lake kuwa serikali haitafadhili tena vyuo vikuu vya umma. Katibu mkuu wa chama cha wahadhiri-UASU- Constantine Wasonga, amesema pendekezo hilo halina msingi wowote na litaathiri pakubwa shughuli vyuoni. Wasonga amesema kuwa hakuwa na imani na uteuzi wa Machogu katika wizara ya elimu […]
WAHADHIRI WA VYUO VIKUU NCHINI WAMKOSOA WAZIRI WA ELIMU EZEKIEL MACHOGU Read More »



