ABDULSWAMAD AWATAKA WABUNGE NA MASENETA KUSHUGHULIKIA MRADI WA GALANA KULALU
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir amewataka wabunge na maseneta kuhakisha wanashugulikia suala la ardhi ya Galana Kulalu ili irejee kwa serikali ya kaunti kwa minajili ya kuwafaidi wananchi katika uzalishaji wa chakula, hatua ambayo itasaidia kudhibiti baa la njaa ambalo limekuwa likishuhudiwa kanda ya pwani na nchini Kote. Akizungumza katika eneo la […]
ABDULSWAMAD AWATAKA WABUNGE NA MASENETA KUSHUGHULIKIA MRADI WA GALANA KULALU Read More »



